Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi Dkt. Pindi Kichana anayeiwakilisha Tanzania Nchini Kenya akiwaongoza Mabalozi wengine walioteuliwa hivi karibuni na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais,[Picha na Ikulu.] 03/03/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa kuiwakilisha Tanzania Nchi za Nje hivi karibuni wakiongozwa na Balozi Dkt. Pindi Kichana(wa pili kulia) anayeiwakilisha Tanzania Nchini Kenya walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais,[Picha na Ikulu.] 03/03/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akizungumza na Mabalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania walioteuliwa kiwakilisha Tanzania Nchi za Nje hivi karibuni wakiongozwa na Balozi Dkt. Pindi Kichana(wa pili kulia) anayeiwakilisha Tanzania Nchini Kenya walipofika Ikulu Mjini Unguja leo kumuaga Rais,[Picha na Ikulu.] 03/03/2017.
Sign up here with your email