Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Balozi wa Singapore katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Tan Puay Hiang alipofika Ikulu Mjini Unguja leo ,[Picha na Ikulu,] 03/03/2017.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akizungumza na Balozi wa Singapore katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe,Tan Puay Hiang alipofika Ikulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu,] 10/02/2017.
Sign up here with your email