WAZIRI WA ELIMU AKUTANA NA WAKUU WA VYUO LEO - Rhevan Media

WAZIRI WA ELIMU AKUTANA NA WAKUU WA VYUO LEO

el1

Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako akizungumza na viongozi mbalimbali kuhusu masuala ya elimu  mjini Dodoma ,Waziri Profesa  Ndalichako amewataka wakuu wa vyuo vya Maendeleo ya wananchi kuacha kufanya kazi kwa mazoea na badala yake wafanye kazi Kwa uadilifu, ubunifu, na weledi wa hali ya juu ili vijana wanamaliza kwenye vyuo hivyo wawe na ujuzi na uwezo wa kujiajiri wenyewe.
el2
WAKUU WA VYUO VYA MAENDELEO YA WANANCHI WAKIFUATILIA HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU MKOANI DODOMA HII LEO
el3
VIONGOZI WA JUU WA WIZARA YA ELIMU WAKIWASILI KATIKA UKUMBI WA MIKUTANO VETA, MKOANI DODOMA.
MAMBO YA MSINGI AMBAYO WAKUU WA VYUO  VYA FDCs WAMETAKIWA KUZINGATIA;
1-KUACHA KUFANYA KAZI KWA MAZOEA
2- WAMETAKIWA KUWA WABUNIFU
3- WAMETAKIWA KUFANYA KAZI KWA MSHIKOMANO
4- WAMETAKIWA KUWA WAADILIFU
5- WAMETAKIWA KUTUMIA NA KUTHAMINI RASILIMALI 
Previous
Next Post »