RAIS DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WAKAZI WA BUKOBA MJINI, MULEBA NA MUGANZA MKOANI GEITA - Rhevan Media

RAIS DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WAKAZI WA BUKOBA MJINI, MULEBA NA MUGANZA MKOANI GEITA


Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Bukoba mjini mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muleba mkoani Kagera mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani humo.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wakazi wa Muganza Wilayani Chato mara baada ya kumaliza ziara yake ya siku mbili mkoani Kagera. PICHA NA IKULU


Previous
Next Post »