Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) pamoja na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali mbali wa Serikali wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Kiwanda cha Matrekta Nd,Haji Haji Makame (Mtumbatu) kuhusu mashine zinavyofanyakazi kutokana na uchakavu wake, wakati alipofika kutembelea Kiwanda hicho leo, Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,(wa pili kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe. Hamad Rashid Mohamed.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kushoto) pamoja na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na Viongozi mbali mbali wakipata maelezo kutoka kwa Fundi Mkuu wa Kiwanda cha Matrekta Mbweni Nd,Haji Haji Makame (Mtumbatu) walipofika kuangalia mashine zinavyofanyakazi kutokana na uchakavu wake, wakati walipofika kutembelea Kiwanda hicho leo huko Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja,(wa pili kulia)Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akitoa maelezo kwa Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali mbali wa Serikali wakati walipotembelea Kiwanda cha Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja. Kushoto ni mkuu wa Kiwanda Ndg. Mohamed Omar
Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe Hamad Rashid Mohamed akitoa maelezo mafupi na kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) kuzungumza na wafayakazi wa Kiwanda cha Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo,baada ya kukitembelea akiwa na Wajumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali mbali Serikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein (kushoto) alipokuwa akizungumza na Wafanyakazi wa Kiwanda cha Matrekta Mbweni Wilaya ya Magharibi "B" Unguja leo,alipofayna ziara maalum ya kukitembelea kiwanda hicho akiwa na ujumbe wa Baraza la Mapinduzi na watendaji mbali mbali wa serikali. Picha na IKULU.
Sign up here with your email