Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Mhe. Charles Mwijage (pichani) amesema kuwa wawekezaji na wamiliki wa viwanda wasiwe na wasiwasi kwa kuwa Tanzania ina mazingira mazuri ya uwekeza tofauti na inavyotafsiriwa na baadhi ya watu ambao wa nia ya kuwahujumu wawekezaji.
Akizungumza katika kipindi cha Mizani ya Wiki cha Azam TV, Mhe. Mwijage amefafanua kuwa serikali haina nia yoyote ya kukihujumu kiwanda cha Dangote kwa kuwa lengo la serikali ya awamu ya Tano ni kuifanya Tanzania kuwa nchi ya viwanda. Kwa kupata zaidi Usikose kuangali kipindi cha Mizani ya Wiki ifikapo saa mbili na nusu Azam Two.
Sign up here with your email