NAIBU WAZIRI DKT. ANGELINA MABULA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUKWA - Rhevan Media

NAIBU WAZIRI DKT. ANGELINA MABULA AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI RUKWA



 Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi (hawapo pichani) wakati alipowasili wilayani humo kufuatilia utendaji kazi na utoaji huduma wa sekta ya ardhi kwa wananchi. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Bw. Said Mtanda.
 Mkuu wa Wilaya ya Nkasi Bw. Said Mtanda akitoa ufanunuzi kwa wananchi mbele ya Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula kuhusu masuala mbalimbali ya ardhi  yanayotakiwa kufuatwa na wananchi pindi wanapofuatilia huduma za ardhi.



Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt. Angelina Mabula akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Kanondo kilichopo wilayani Nkasi mkoani Rukwa  mara baada ya kuwasikiliza kuhusu matatizo wanayokutana nayo katika sekta ya ardhi.


Previous
Next Post »