MBUNGE ULEGA AENDELEA KUJIIMARISHA JIMBONI KWAKE KWA KUKUTANA NA WANANCHI WAKE. - Rhevan Media

MBUNGE ULEGA AENDELEA KUJIIMARISHA JIMBONI KWAKE KWA KUKUTANA NA WANANCHI WAKE.



 Wananchi wa kijiji cha Nyatanga kilichopo Kata ya Panzuo Tarafa ya Mkamba mkoani Pwani wakimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Mkuranga,Abdallah Ulega alipokuwa akizungumza nao na kupanga nao mikakati ya kujikwamua na umaskini kwa namna moja ama nyingine.
 Mbunge wa Jimbo la Mkuranga,Abdallah Ulega akikagua jengo la Zahanati ya Nyatanga iliyojengwa kwa fedha za wananchi wa kijiji cha Nyatanga kilichopo Kata ya Panzuo Tarafa ya Mkamba mkoani Pwani. 
 Mbunge wa Jimbo la Mkuranga,Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa wa kijiji cha Nyatanga kilichopo Kata ya Panzuo ,Tarafa ya Mkamba ambapo yupo katika ziara za kikazi katika  jimbo lake hilo la Mkuranga mkoani Pwani.Mh.Ulege ameendelea na ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za wananchi wake,ikiwemo pia na kukagua miradi mbalimbali ya Maendeleo
 Mkurugenzi Mtendaji wa Wilaya ya  Mkuranga mkoani Pwani,Mhandisi Mshamu Munde akifafanua jambo katika mkutano uliofanyika kwenye  kijiji cha Nyatanga kilichopo Kata ya Panzuo ,Tarafa ya Mkamba mkoani Pwani.Picha Emmanuel Massaka Globu ya Jamii.

Previous
Next Post »