Kisomo kikiendelea katika msiba wa Mzee Yusuph Mzimba huko Magomeni Kwa Bi Nyau jijini Dar es salaam kabla ya mwili wake kuswaliwa na kisha kupelekwa kijijini kwake Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani kwa Mazishi leo Desemba 4, 2016.
Msiba wa Mzee Yusuph Mzimba huko Magomeni Kwa Bi Nyau jijini Dar es salaam kabla ya mwili wake kuswaliwa na kisha kupelekwa kijijini kwake Msoga, Chalinze, Mkoa wa Pwani kwa Mazishi. Marehemu atakumbukwa kama mmoja wa viongozi mashuhuri wa Yanga.
Sign up here with your email