WATUMISHI WA WIZARA YA KATIBA WAKIPOKEA MAPENDEKEZO KUHUSU SHERIA YA NDOA YA 1971 NA SHERIA YA MSAADA WA KISHERIA - Rhevan Media

WATUMISHI WA WIZARA YA KATIBA WAKIPOKEA MAPENDEKEZO KUHUSU SHERIA YA NDOA YA 1971 NA SHERIA YA MSAADA WA KISHERIA



 Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Rasilimali Watu wa Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria Bw. Aloyce Mwogofi (aliyesimama kushoto) akiongea katika Kikao na watumishi wa Wizara hiyo wakati wakipokea taarifa ya mapendekezo ya sheria ya Ndoa ya 1971 na utungwaji wa sheria ya msaada wa kisheria, leo katika ukumbi wa wizara hiyo.
 Watumishi wa Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria wakimsikiliza kwa makini mtoa  taarifa ya  mapendekezo ya sheria ya Ndoa ya 1971 na utungwaji wa sheria ya msaada wa kisheria Bw Sabath Cazmiry (wa tatu kushoto), leo katika ukumbi wa wizara hiyo.
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Katiba na Sheria Bw. Amon Mpanju (kushoto) akisisitiza jambo kwa watumishi wa Wizara hiyo wakati wa kikao cha kupokea  taarifa ya  mapendekezo ya sheria ya Ndoa ya 1971 na utungwaji wa sheria ya msaada wa kisheria leo, katika ukumbi wa wizara hiyo.

Previous
Next Post »