Rais wa Shirikishoa la Riadha Tanzania Mhe. Anthony Mtaka, katika picha ya pamoja na Rais wa Shirikisho la Riadha la Dunia, Lord Sebastian Coe (Kulia) pamoja na Bw Karmal, Rais wa Shirikisho.la Riadha la United Arab Emirates (UAE). Mh Mtaka anahudhuria kikao maalum cha siku tatu cha Shirikisho la Riadha duniani (LAAF), kinachofanyika nchini Monaco.
Mhe Anthony Mtaka Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) akiwa katika na Rais wa Shirikisho la Riadha la Korea ya Kusini, Bw Howon Bae. Mwaka huu, Korea imetoa nafasi mbili za mafunzo ya ukocha wa riadha kwa Tanzania. Mh Mtaka ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, anahudhuria kikao hicho maalum cha Shirikisho la Riadha la Dunia (LAAF) kinachoendelea nchini Monaco.
Mhe Anthony Mtaka, Rais wa Shirikisho la Riadha Tanzania (RT) akiwa na wajumbe wenzake katika kikao maalum cha siku tatu cha Shirikisho la Riadha la Dunia (LAAF) kinachoendelea nchini Monaco.
Sign up here with your email