KUTOKA UGAIBUNI : SAFARI YA MWISHO YA FIDEL CASTRO WA CUBA - Rhevan Media

KUTOKA UGAIBUNI : SAFARI YA MWISHO YA FIDEL CASTRO WA CUBA



Mwili wake wa aliyekuwa Rais wa Cuba umechomwa moto hadi kuwa majivu kama alivyotaka, katika sherehe ya kibinafsi, na  majivu yake yamezungushwa katika msafara maalumu kote nchini kabla ya kuzikwa katika Makaburi ya Mji wa Santiago leo Desemba 4, 2016.  Cuba inaadhimisha siku tisa za maombolezo kufuatia kufariki kwa Fidel Castro akiwa na umri wa miaka 90. 
 Kasiki lenye majivu ya Fidel Castro yakiwekwa garini tayari kwa kuzungushwa katika msafara maalumu kote nchini kabla ya kuzikwa katika Makaburi ya Mji wa Santiago
 Kasiki lenye majivu ya Fidel Castro yakiwa garini  kuzungushwa katika msafara maalumu kote nchini 
 Gari maalumu likiwa na Kasiki lenye majivu ya Fidel Castro yakiwa garini  kuzungushwa katika msafara maalumu kote nchini 

Wananchi wakijipanga kuaga Kasiki lenye majivu ya Fidel Castro yakiwa garini  kuzungushwa katika msafara maalumu kote nchini Cuba.


Previous
Next Post »