MADEREVA WAHESHIMU SHERIA ZA BARABARANI KUEPUKA KUWA CHANZO CHA AJALI. - Rhevan Media

MADEREVA WAHESHIMU SHERIA ZA BARABARANI KUEPUKA KUWA CHANZO CHA AJALI.


Mmoja wa wakazi wa jiji la Dar akivushwa barabara mtaa wa Samora mapema leo jijini Dar,huku moja ya gari ikivunja sheria za Barabarani bila kujali usalama wa wapita njia ama vyombo vingine vya moto,hali inayoweza kusababisha ajali.Madereva wanapaswa kuwa makini wakati wote waendeshapo vyombo vya moto ikiwemo na kuzijua njia wazipitazo kuepuka kuwa chanzo cha ajali. 


Previous
Next Post »