DEREVA HUYU NI MGENI HAPA MJINI??? - Rhevan Media

DEREVA HUYU NI MGENI HAPA MJINI???


Gari ndogo ikivuka katika Barabara ya Mabasi ya Mwendo kasi, eneo la Magomeni Mikumi, Jijini Dar es salaam. Pamojana kwamba Matumizi ya barabara yamebadirika kwa maeneo mengi hapa mjini, lakini gari hii imeendelea kuutumia utaratibu ule ule wa zamani. sasa sijui ni makusudi au ndio kutokujua kama kuna mabadiriko hayo.

Previous
Next Post »