Jivu la aliyekuwa
rais wa Cuba Fidel Castro limezikwa katika kiunga cha makaburi mjini
Santiago, na hivyo kumaliza siku tisa za maombolezo ya kitaifa nchini
Cuba.
Familia na wageni wachache walialikwa katika shughuli hiyo
ya faragha, iliyofanywa karibu na makumbusho ya shujaa wa uhuru wa Cuba,
Jose Marti.- Mwili wa Fidel Castro kuchomwa
- Wananchi wa Cuba waomboleza
- Fidel Castro afariki dunia akiwa na miaka 90
Mbele ya mhadhara mkubwa mjini Santiago, alisema Fidel Castro hakutaka kufanywa kama kiongozi wa madhehebu.
Sign up here with your email