Alipoulizwa kuhusina na Suala hilo kwenye kipindi cha Planet Bongo cha East Africa Radio katibu wa BASATA,Bw. Godfrey L. Mngereza amedai kuwa Shilole alifuata taratibu zote alizotakiwa na baadaye kukata rufaa kwenye ngazi kubwa zaidi na adhabu yake ikaisha.
“Unajua sio kila kitu baraza tunatangaza,suala la Shilole ni kwamba alifuata taratibu na kwenda ngazi zingine na kukata rufaa kwa hiyo ilifikia huko na kumalizwa”
Sign up here with your email