HUU NDIO UZI WA MPYA WA 'MNYAMA' SIMBA KWAAJILI YA MSIMU WA 2017/17 . - Rhevan Media

HUU NDIO UZI WA MPYA WA 'MNYAMA' SIMBA KWAAJILI YA MSIMU WA 2017/17 .


Klabu ya Simba kupitia ukurasa wake wa Facebook leo imetangaza jezi rasmi zitakazotumika kwenye msimu ujao wa ligi wa 2016/17. Jezi hizo zitazinduliwa Agosti 8 ambayo itakuwa siku ya Simba Day, na jezi hizo zitaanza kuuzwa punde tu baada ya uzinduzi. - See more at: http://www.barakampenja.com/2016/08/huu-ndio-uzi-wa-mpya-wa-mnyama-simba.html#sthash.CdW2XEzP.7naEpoNO.dpuf
Previous
Next Post »