Mwanaridha wa Jamaica Usain Bolt tayari amewasili nchini Brazil kwaajili ya Michuano ya Olimpiki mwaka huu
Bolt na Wajamica wenziwe wamekuwa wakifanya mazoezi kunako eneo la Centro de Educacao Fisica Almirante Adalberto Nunes, sehemu ya kufanyia mazoezi ya wanajeshi wa majini wa Brazil kwa ajili ya kujiandaa na michezo hiyo itakayoanza Agosti 5
Bolt (29), kupitia akaunti yake ya Instagram jana, alionekana kwenye picha ya pamoja na kundi la wa wanajeshi wenye silaha kwenye eneo hilo la mazoezi.
Jamaican sprinters Usain Bolt (right), Asafa Powell (centre) and Yohan Blake pose at the base
+4
Wanamichezo wa Jamaica Usain Bolt (kulia), Asafa Powell (katikati) na Yohan Blake wakiwa kwenye picha ya pamoja.
'Don't try test,' alindika Bolt kwenye picha ambayo alioenkana akiwa na wanajeshi hao.
'Training Camp well secure thanks to the Brazil Military,' wrote Powell alongside his own snap
SHARE PICTURE
+4
Sign up here with your email