Lissu amekamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kumaliza mkutano huko Singida
--------- Ujumbe alioandika Tundu Lissu------
Wakubwa sana salaam. Ninawaandikieni maneno haya nikiwa chini ya ulinzi wa polisi Singida.
Nimemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mji mdogo wa Ikungi ambao ni makao makuu ya Jimbo langu la Singida Mashariki.
Mara baada ya kushuka jukwaani nimefuatwa Regional Crimes Officer wa Mkoa wa Singida aliyejitambulisha kwa jina la Babu Mollel na kunitaarifu kuwa ameelekezwa na Regional Police Commander Singida nikamatwe.
Apparently kuna amri ya kunikamata iliyotoka Dar es Salaam. Kwa hiyo niko nguvuni na ninasubiri maelekezo ya RPC juu ya wanakotakiwa kunipeleka.
It's likely nitasafirishwa Dar usiku huu. In fact ni usiku huu kwa taarifa za sasa hivi.
Kwa vyovyote itakavyokuwa, there's no turning back. There's no shutting up.
Nitapambana kutetea haki yetu ya kuwasema watawala popote nitakapokuwa, whether in freedom or in jail, as long as I've a voice to speak with.
Ujumbe toka CHADEMA:Wakubwa sana salaam. Ninawaandikieni maneno haya nikiwa chini ya ulinzi wa polisi Singida.
Nimemaliza kuhutubia mkutano wa hadhara mji mdogo wa Ikungi ambao ni makao makuu ya Jimbo langu la Singida Mashariki.
Mara baada ya kushuka jukwaani nimefuatwa Regional Crimes Officer wa Mkoa wa Singida aliyejitambulisha kwa jina la Babu Mollel na kunitaarifu kuwa ameelekezwa na Regional Police Commander Singida nikamatwe.
Apparently kuna amri ya kunikamata iliyotoka Dar es Salaam. Kwa hiyo niko nguvuni na ninasubiri maelekezo ya RPC juu ya wanakotakiwa kunipeleka.
It's likely nitasafirishwa Dar usiku huu. In fact ni usiku huu kwa taarifa za sasa hivi.
Kwa vyovyote itakavyokuwa, there's no turning back. There's no shutting up.
Nitapambana kutetea haki yetu ya kuwasema watawala popote nitakapokuwa, whether in freedom or in jail, as long as I've a voice to speak with.
Ni kweli. Tunaweza kuthibitisha kwa
vyombo vya habari kuwa Mwanasheria Mkuu wa Chama Mh. Tundu Lissu
anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoani Singida kwa sababu ambazo
hazijawekwa wazi.
Polisi wamemkamata jioni hii baada ya kumaliza mkutano wake wa hadhara alioufanya Ikungi jimboni kwake kwa kile walichosema kuwa ni maelekezo kutoka juu hivyo anapaswa kwenda Kituo Kikuu cha Polisi Mkoani Singida. Taarifa kutoka kwenye mfumo wa chama mkoani humo zimesema muda mfupi uliopita ndiyo amewasili kituoni hapo na kupelekwa Ofisi ya RCO Singida.
Tayari viongozi wa chama mkoani humo wako katika eneo hilo ili kuhakikisha Lissu anapata haki zake kama inavyostahili huku pia chama ngazi ya taifa, hususan Ofisi ya Katibu Mkuu, ikifuatilia kwa ukaribu kujua sababu hasa ya kushikiliwa kwake na kutoa msaada wa haraka kadri itakavyohitajika. Tutaendelea kuwajuza kuhusu suala hili.
Makene

Sign up here with your email