Ninawapeni faida ya kujitibu maradhi ya kichwa kilichokushika
gafla. Na Maradhi ya Stress Shika vidole vyako 2 kidole cha gumba na
kidole cha shahada kwenye mkono wako kushoto bana kidogo huku unapiga
masaji kwa muda wa nusu dakika utapona inshallah hicho kichwa na Stress
zitakuondoka. Angalia mfano wa hiyo Picha hapo chini.Ninawatakieni Afya
njema.
Sign up here with your email