
Waziri wa Afya, UMMY Mwalimu akikata utepe kwenye vitabu ambavyo ni muongozo wa kazi kwa ajili ya Bodi Mpya ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), ikiwa ni ishara ya Uzinduzi wa Bodi hiyo, uliofanyika leo kwenye Makao Makuu ya Mfuko huo Kurasini Jijini Dar es salaam. Kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).Bernard Konga.Katika hotuba yake Waziri Ummy ameutaka Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya kuisaidia wizara ya Afya kwa mafanikio ya wizara hiyo yatatokana na utendaji uliotukuka wa Taasisi mbili ambazo ni NHIF na MSD yaani Bohari ya Madawa kutakuwa na mafanikio makubwa kwa wizara ya Afya
Sign up here with your email
