
Waziri Mkuu Mstaafu Mhe. Peter Kayanza Pinda akiwauliza maswali wanafunzi wa shule ya awali wa shule ya mwingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo
Sign up here with your email
