UFAFANUZI WA UKATAJI FEDHA ULIOWALIZA WENGI. - Rhevan Media

UFAFANUZI WA UKATAJI FEDHA ULIOWALIZA WENGI.



Kwa utaratibu wa sasa, serikali itachukua kodi ya 10% ya makato wakati unatuma pesa na kupokea pesa pamoja na VAT (18%)

Ngoja nikupe mfano.

Umetuma 20,000. Afu makato yakawa 500.

Serikali itachukua kodi asilimia 10 ya hiyo 500, yaan itachukua sh 50/-

Na pia itachukua VAT ambayo ni 18% ya hiyo 500, ambayo ni sawa na Sh 90/-

Kwahiyo kwenye kutuma pesa, una katwa 500, kwenye hiyo 500, serikali inachukua (50+90=140)

Unapopokea pesa, ukaenda kutoa kwa wakala, lets say umetoa 20,000. Unakatwa 1,200.

Serikali itachukua asilimia 10 ya hiyo 1,200. Yaani sh 120/-

Pia VAT ambayo ni 18% ya 1200, ambayo ni sh 216/-

Kwahiyo, makato yanakuwa (216+120 =330)

Huo ndo ufafanuzi sahihi.
Previous
Next Post »