
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni akizungumza na askari polisi katika Kambi ya Mabatini.jijini Mwanza,ambao walipambana na majambazi na kufanikiwa kuwakamata wakati wa operesheni hiyo.Majambazi hayo yalijificha katika.Masauni aliwapongeza askari hao kwa kupambana na majambazi hayo na kuwasisitiza kuwa kazi bado inaendelea wazidi kupambana mchana usiku
Sign up here with your email
