
Mkuu wa Jeshi la Polisi Mwanza,Ahmed Msangi akiongea na Mzee wa Msikiti wa Rahmani uliopo Mkolani mwanza wakati walipokuwa wanatoka msikitini mara baada ya kuzungumza na waumini wa msikiti huo wa Rahmani mkoani humo.Msikiti huo ulivamiwa na majambazi hivi karibuni na watu watatu waliuawa.
Sign up here with your email
