Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa
Masaki, Kimweri Mhita (kushoto), akizungumza na wanachama wa Umoja wa
Waendesha Bajaj na Bodaboda wa eneo hilo katika mkutano wa kutambulisha
viongozi wa umoja huo baada ya kuchaguliwa Dar es Salaam leo asubuhi.Kutoka
kulia ni Mtunza Fedha wa umoja huo, Joseph Asenga na Mwenyekiti, Juma
Iddi.
Mwenyekiti wa
Serikali ya Mtaa wa Masaki, Kimweri Mhita (katikati), akisisitiza jambo
kwenye mkutano huo. Kutoka kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa umoja huo,
George Charles, Katibu Mkuu, Reuben Tanu, Mwenyekiti, Juma Iddi na Mtunza
Fedha, Joseph Asenga.
Sign up here with your email