RATIBA YA MECHI ZA LEO EURO NA COPA AMERICA NA MUDA WA MECHI KUANZA. - Rhevan Media

RATIBA YA MECHI ZA LEO EURO NA COPA AMERICA NA MUDA WA MECHI KUANZA.

Mechi ya kwanza leo itakuwa kati ya Ufaransa na Ireland itaanza saa kumi kamili jioni (1600 hours)
Mechi ya pili itakuwa kati ya Germany na Slovakia itaanza saa moja usiku (1900 hours)
Mechi ya mwisho kwa EURO leo itakuwa kati ya Hungary na Belgium muda utakuwa saa nne usiku (2200 hours)

COPA AMERICA 
Leo mechi ya fainali ya Copa America kati ya Argentina dhidi ya Chile mechi itakayoanza saa tisa usiku (0300 hours)

Previous
Next Post »