Mwenyekiti
wa Kamati ya Mashindano na Usajili katika Klabu ya Coastal Union,Hemed
Aurora akisisitiza jambo wakati wa kikao cha kamati hiyo kujadili
masuala ya usajili na mashindano kilichoketijuzi kwenye ukumbi wa makao
makuu ya klabu hiyo,kushoto ni mjumbe wa kamati hiyo,Abdallah
Zuberi,kulia ni Hussein Chuse na anayefuatia ni Katibu Mkuu wa Klabu ya
Coastal Union Salim Bawaziri,
Mjumbe
wa Kamati ya Mashindano na Usajili ya Klabu ya Coastal Union,Steven
Mguto akiuliza swali wakati wa kikao cha kamatihiyo kujadili masuala ya
usajili na mashindano kilichoketi juzi kwenye ukumbi wa makao makuu ya
klabu hiyo
Katibu Mkuu wa Klabu ya Coastal Union,Salim Bawaziri akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kumalizika kikao hicho
Kamati
hiyo inaundwa na wajumbe wengine ambao ni Abdi Masamaki,Salim
Bawaziri,Hemed Mbaruku,Hussein Chuse,Abdallah Zuberi “Unenge” na Juma
Mgunda ambayo itakuwa na jukumu la kusimamia mashindano na usajili.
Sign up here with your email