NA RICHARD BUKOS
UNAMKUMBUKA yule mwanadada
ambaye umaarufu wake kwa kiwango kikubwa umetokana na kupiga picha za
nusu utupu? Huyu ni Faiza Ally na habari njema ni kwamba, sasa ameamua
kumrudia Mungu wake kwani amehisi alikuwa anapotea.
Faiza aliliambia Ijumaa kuwa, watu
wamekuwa wakimjua kwa staili yake ya kuvaa kihasara lakini sasa hivi
ameamua kuswali swala tano.
Sign up here with your email
