Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano profesa Makame Mbarawa akiwa na uongozi wa bandari ya Kigoma akitembelea maeneo yanapopakiwa mizigo bandarini hapo
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano profesa Makame Mbarawa akipata maelezo juu ya injini ya meli ya MV LIEMBA inavyofanya kazi kutoka kwa kapteni wa meli hiyo Mussa Mandia
Waziri wa ujenzi na uchukuzi akishuka ndani ya meli ya mv Liemba, meli yenye historia kubwa ndani ya ziwa Tanganyika, imefanya kazi ndani ya ziwa hilo kwa zaidi ya miaka na bado inaendelea kufanya kazi.
Waziri wa ujenzi, uchukuzi na mawasiliano Profesa Makame Mbarawa pamoja na Mbunge wa jimbo la kigoma mjini Zitto Kabwe wakiongea na wafanyakazi wa bandari ya kigoma ndani ya meli ya mv liemba.Picha na Editha Karlo, wa blog ya jamii Kigoma
Sign up here with your email