Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
Mh. January Makamba akiongea na Balozi wa Spain nchini Tanzania Bw. Felix
Costales. Balozi huyo alimtembelea Mh. Makamba na kufanya mazungumzo ya
kudumisha uhusiano baina ya nchi hizo mbili katika sekta ya Hifadhi na
Usimamizi wa Mazingira.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
Mh. January Makamba akiagana na Balozi wa Spain nchini Tanzania Bw. Felix
Costales mara baada ya kufanya mazungumzo Mtaa wa Luthuli Jijini Dar es Salaam.
Sign up here with your email