WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS UTUMISHI WA UMMA ATAJA IDADI YA WATUMISHI HEWA. - Rhevan Media

WAZIRI WA NCHI OFISI YA RAIS UTUMISHI WA UMMA ATAJA IDADI YA WATUMISHI HEWA.



Waziri wa nchi ofisi ya rais utumishi wa umma na utawala bora Mh. Anjela Kairuki amesema idadi ya watumishi hewa iliyobainika kuanzia January hadi sasa ni 7,795 ambao wameisababishia serikali hasara ya shilingi bilioni 7.5.
Previous
Next Post »