TANZIA.!
Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Iringa Ndg.Sinkala Mwenda amepata ajali jioni ya leo eneo la Tanangozi na kukimbizwa Hospitalini kwa ajili ya matibabu. Lakini amefariki dunia muda mfupi uliopita wakati madaktari wakijitahidi kuokoa uhai wake. Pumzika kwa amani Kamanda Sinkara.!

PICHA YAKE AKIWA HAI HII HAPA CHINI

Sign up here with your email