WALOFUKUZWA CLOUDS FM WARUDISHWA TENA. - Rhevan Media

WALOFUKUZWA CLOUDS FM WARUDISHWA TENA.


Watangazaji Masoud Kipanya na Fina Mango baada ya kufukuzwa kazi Clouda Fm Miaka kadhaa iliyopita leo wamerejeshwa tena.Hii ni baada ya Gelard Hando na Paul James kuacha kazi siku chache zilizopita.
Previous
Next Post »