UFAHAMU MSHAHARA WA RAIS JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI. - Rhevan Media

UFAHAMU MSHAHARA WA RAIS JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI.


Wiki hii Mh Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli, alitangaza kuanza mikakati ya kuweka uwiano sawa wa mishahara miongoni mwa watumishi katika sekta mbali mbali.
Katika mfano alioutoa Dkt Magufuli, alidai kuwa kuna watu wanapokea zaidi ya milioni 40 kwa mwezi wakati wengine wanapokea shilingi laki 3 tu.
Najua umefungua hapa ili uweze kufahamu mshahara halisi wa Rais, KALAGHABAO bado haujawekwa wazi mpaka sasa, tunachohitaji kukwambia ‘HERI YA SIKU YA WAJINGA MDAU WETU’.

Previous
Next Post »