
Baada ya Shirika la Nyumba Tanzania (NHC) kutakiwa kuuza nyumba zake kwa bei nafuu ili wananchi wa kipato cha chini nao waweze kumudu kununua, Mkurugenzi wa (NHC) Nehemia Mchechu amesema kuwa ni vigumu kuuza nyumba kwa bei ya chini ikizingatiwa kuwa upatikanaji wa ardhi na gharama za ujenzi ziko juu.
Sign up here with your email