WAFANYAKAZI WA NMB WATOA MSAADA MUHIMBILI HOSPITALI. - Rhevan Media

WAFANYAKAZI WA NMB WATOA MSAADA MUHIMBILI HOSPITALI.



Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakimkabidhi mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine) Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (mwenye nguo nyeupe) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitalini hapo juzi. Vifaa vingine vilivyokabidhiwa ni ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakimkabidhi mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine) Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (mwenye nguo nyeupe) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitalini hapo juzi. Vifaa vingine vilivyokabidhiwa ni ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama.Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Hazina wa jijini Dar es Salaam wakimkabidhi baadhi ya misaada Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (katikati) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Hazina wa jijini Dar es Salaam wakimkabidhi baadhi ya misaada Ichaji wa Wodi 'A' ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili, Sista Devota Ndendeje (katikati) walipotembelea wagonjwa waliolazwa katika Wodi ya Watoto Hospitali ya Taifa Muhimbili juzi. Miongoni mwa misaada iliyotolewa ni pamoja na mashine ya kumsaidia mtoto anayeshindwa kupumua vizuri (Suction Machine), ENT Seti mbili kwa ajili ya vipimo vya masikio, koo na pua kwa watoto, mashine ya kuwasaidia watoto wenye pumu (Nebulizer machine), Digital thermometer 14, pampers, sabuni, mafuta ya vaseline, cotton buds, miswaki na dawa za miswaki, toilet papers, chupa za maziwa kwa watoto wachanga na zawadi nyingine kwa watoto kama pipi, juice, biscuits na chama.Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakibeba ma boksi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito kwa ajili ya kuwagawia wajawazito wanaopokelewa katika Wodi ya Wazazi Hospitali ya Sinza, Parestina walipotembelea hospitali hiyo juzi. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo vilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika. Baadhi ya Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Hazina wakibeba ma boksi ya seti za vifaa vya kujifungulia kwa wajawazito kwa ajili ya kuwagawia wajawazito wanaopokelewa katika Wodi ya Wazazi Hospitali ya Sinza, Parestina walipotembelea hospitali hiyo juzi. Jumla ya Seti 100 za vifaa hivyo vilitolewa na Wafanyakazi wa Benki ya NMB Kitengo cha Biashara jijini Dar es salaam na kugawiwa kwa wahusika.Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam. Mkuu wa Kitengo cha Biashara wa Benki ya NMB, James Meitaron (kulia) akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es SalaamMeneja Bidhaa wa Benki ya NMB, Beatrice Mwambije akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam. Meneja Bidhaa wa Benki ya NMB, Beatrice Mwambije akimkabidhi mmoja wa wajawazito seti ya vifaa vya kujifungulia alipotembelea Wodi ya Wazazi katika Hospitali ya Sinza, Parestina juzi jijini Dar es Salaam.





<
Previous
Next Post »