RAIS WA ZANZIBAR AWATEUWA WAFUATAO KUWA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR. - Rhevan Media

RAIS WA ZANZIBAR AWATEUWA WAFUATAO KUWA WAJUMBE WA BARAZA LA WAWAKILISHI ZANZIBAR.




Rais wa Zanzibar Ali Mohamed Shein amewateua wafuatao kuwa wajumbe wa Baraza la WAWAKILISHI.

1. Mhe. Mohamed aboud Mohamed
2. Mhe. Amina Salum Ali
3. Mhe. Moulin Castico
4. Mhe Balozi Ali karume
5. Hamad Rashid Mohamed
6. Mhe. Said Soud Said
7. Mhe Juma Ali Khatibu

Uteuzi huo umeanza leo tarehe 5 Aprili 2016.
Previous
Next Post »