Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipokea salamu ya Heshma ya gwaride la kikosi cha FFU wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akikagua gwaride la kikosi cha FFU akiongozwa na Kamanda wa FFU Mjini Magharibi S.S.P Anani wakati wa Uzinduzi wa Baraza la 9 la Baraza la Wawakilishi liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar leo.
Baadhi ya Mabalozi wan chi mbali mbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika uzinduzi wa Baraza la 9 katika hafla iliyofanyika katika ukumbi wa baraza hilo liliopo Mbweni nje ya Mji wa Zanzibar.
Sign up here with your email