RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI. - Rhevan Media

RAIS MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI.



 Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, ndiye mgeni rasmi katika sherehe za uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa barabara ya juu (Flyover) katika makutano ya barabara Nyerere na Mandela (Flyover ya TAZARA)

Utekelezaji wa miradi huu ni mojawapo ya jitihada za Serikali za kuboresha miundomninu na kupunguza msongamano wa magari katika jiji la Dar es salaam.


uzinduzi.jpg
Previous
Next Post »