RAIS MAGUFULI ATOA AGIZO ZITO. - Rhevan Media

RAIS MAGUFULI ATOA AGIZO ZITO.



Wakurugenzi wa Wizara mbalimbali watakaohudhuria vikao vya kamati za bunge Mjini Dodoma, watakodishiwa mabasi/Coaster kuelekea Dodoma.
Kila Wizara itakodishiwa basi/mabasi. Na si kusafiri kila mmoja na gari yake. Hii itapunguza gharama za mafuta na posho za madereva
Chanzo: Ofisi ya Rais
Previous
Next Post »