WAFANYAKAZI HEWA WAZIDI KUIBUKA. - Rhevan Media

WAFANYAKAZI HEWA WAZIDI KUIBUKA.


Taasisi ya kuzuia na Kupambana na rushwa Takukuru Mkoani Mwanza, Mhandisi Ernest Makale, akitoa taarifa kwa wanahabari juu ya utendaji wa taasisi hiyo kwa kipindi cha miezi mitatu iliyopita ambapo imebainika kuwepo kwa watumishi hewa wengine katika halmashauri ya Jiji la Mwanza.

Previous
Next Post »