MKUU WA WILAYA AMKANA MKUU WA MKOA ALIYETUMBULIWA. - Rhevan Media

MKUU WA WILAYA AMKANA MKUU WA MKOA ALIYETUMBULIWA.


Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anne

DC Kishapu Bi.Hawa Ng'umbi amemkana Mkuu wa mkoa aliyetenguliwa uteuzi wake Anne Kilango Malecela kwamba hakumwambia kama wilaya yake hakuna watumishi heewa.
Ng'umbi amenukuliwa na vyombo vya habari leo akisema kwamba alishangaa kuona RC Kilango akitoa taarifa kuwa hakuna watumishi hewa wakati wilayani kwake alikua na taarifa za kuwepo kwa watumishi hewa.
Ngumbi anasema Kilango hakumuuliza yeye wala DED wake
Previous
Next Post »