KIATU CHA OLISENDEKA CCM CHAMTOSHA. - Rhevan Media

KIATU CHA OLISENDEKA CCM CHAMTOSHA.



Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka, akihutubia mkutano wa hadhara, katika kata ya Bashnet, Wilayani Babati mkoa wa Manyara, April 10, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Manyara.
Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka (kushoto), akilakiwa na Kinamama wa Kata ya Bashnet, alipowasili katika kata hiyo kuhutubia mkutano wa hadhara katika kata hiyo, Wilayani Babati mkoa wa Manyara, April 10, 2016, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani Manyara.
Msemaji wa CCM, Mjumbe wa NEC, Christopher Ole Sendeka, akipitia Ilani ya CCM ya 2015-2020, kabla ya kuhutbia mkutano wa hadhara katika kata ya Bashnet, wilaya la Babati mkoani Manyara, akiwa katika ziara ya kikazi mkoani humo, April 10, 2016. Kulia ni Katibu wa CCM mkoa wa ManyaraNdengaso Ndakubali.



Previous
Next Post »