KESI YA HANI KUANZA AFRICA KUSINI. - Rhevan Media

KESI YA HANI KUANZA AFRICA KUSINI.

Image copyright
Image captionChris Hani
Kesi ya serikali ya Afrika Kusini inayopinga kuachiliwa awali kwa muuaji wa shujaa aliyepinga ubaguzi wa rangi Chris Hani imeanza katika mahaka kuu mjini Pretoria nchini Afrika kusini.
Waziri wa sheria Michael Misutha anaamini kuwa mahakama ilifanya makosa wakati ilitoa uamuzi kuwa raia wa Poland Janusz Walus angeachiliwa huru.
Kuachiliwa kwake kulizua ghadhabu sehemu nyingi nchini Afrika Kusini, hasa wakati jaji alimuambia mkewe Hani kuendelea mbele na maisha.
Mkewe Hani aliutaja uamuzi huo kuwa huzuni kubwa kwa Afrika Kusini.
Previous
Next Post »