CANADA YATAKA KUHALALISHA BANGI. - Rhevan Media

CANADA YATAKA KUHALALISHA BANGI.

BangiImage copyrightAFP
Image captionTrudeau aliahidi kuhalalisha matumizi ya bangi
Serikali ya Canada imesema itatimiza moja ya ahadi za Waziri Mkuu Justin Trudeau wakati wa kampeni na kupeleka bungeni mswada ambao huenda ukapelekea kuhalalishwa kwa bangi. Mswada huo utajadiliwa majira ya kuchipua mwaka ujao.
Serikali inasema itashirikiana na polisi kudhibiti uuzaji wake katika kufuatilia ni nani anauziwa, inauzwa wakati gani na inatumiwa vipi. Upinzani wenye wahafidhina wengi unasema kuhalalishwa kwa bangi kutawadhuru vijana.
Previous
Next Post »