MLIPUKO WA KEMIKALI WAUA WATU MEXICO. - Rhevan Media

MLIPUKO WA KEMIKALI WAUA WATU MEXICO.

Watatu
Image captionWatu watatu wamefariki
Kumetokea mlipuko katika kiwanda cha kemikali huko kusini mashariki mwa Mexico uliowauwa watu watatu na wengine 100 kukimbizwa hospitalini.
Moshi mkubwa mwenye kemikali zinazodhuru afya ulitanda katika mji wa bandari wa Coatza-coalcos na ikabidi shule na majengo ya biashara kufungwa. Sasa mkasa huo unachunguzwa.
Shirika la Serikali la mafuta Pemex linamiliki nusu ya kiwanda hicho
Previous
Next Post »