Jenister Mhagama ambaye ni Waziri wa nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, ameamua kutengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi NSSF Dr Carina Wangwe.
Taarifa iliyotolewa usiku wa jana imeeleza kuwa uteuzi huo umetenguliwa kutokana na kutokamilika kwa baadhi ya taratibu.
Uteuzi mpya kwa mujibu wa mamlaka na sheria utakapofanyika taarifa zitatolewa kwa wananchi.
Sign up here with your email
