INASEMEKANA BEYONCE NA JAY Z WAMEACHANA. - Rhevan Media

INASEMEKANA BEYONCE NA JAY Z WAMEACHANA.


Bado taarifa zinaendelea kuitafuna familia ya Carters, na uvumi mkubwa ni kwamba huenda vipepeo hawa wawili yani rapa Jay z na Beyonce wamemwagana na kupeana talaka.
Kwenye sherehe ya kuzaliwa ya rafiki wa Beyonce, Kelly Rowland, mama Blue Ivy alisimama mbele za watu na kuivua pete akiahidi kutoivaa tena.
Ilibidi watu kumzua ili asilizungumzie zaidi swala hilo.

Previous
Next Post »