KAMISHNA WA POLISI ANENA JAMBO. - Rhevan Media

KAMISHNA WA POLISI ANENA JAMBO.



Kamishna wa oparesheni na mafunzo wa Jeshi la Polisi, CP Nsato Marijani, akizungumza na waandishi wa habari Leo.Kamishna Nsato Marijani amesisitiza wananchi kuendelea kutoa taarifa za uhalifu na wahalifu ili kuupunguza uhalifu
Previous
Next Post »